Idara ya Usimamizi

Idara ya Usimamizi inawajibika na shughuli zote za ndani ya huduma za kanisa. Inaratibu na kuandaa ziara za wachungaji au maaskofu katika mashirika mengine ili kuleta umoja kati ya shirika mbali mbali. Inahakikisha kwamba kuna hali ya amani na ushirika ndani ya kanisa. Pia, idara inasimamia na kutathmini kazi za wachungaji.

Zaidi ya hayo, idara inahusika na kazi za kiutawala, kama kuandaa na kusambaza sakramenti kwenye makanisa yote ndani ya jimbo. Pia, inaratibu majitoleo katika huduma za kanisa.


Mkuu wa Idara - Mch. Augusto Panjobelo Mwakajoka
Mawasiliano

Kanisa la Moravian Tanzania – Jimbo la Kusini
Idara ya Usimamizi
P.O. Box 32
Tukuyu
Tanzania

Barua Pepe:   mwakajokaaugusto@gmail.com
Simu:     +255 787 274840
Kiswahili